KIKONGWE (( EPISODE 01 ))

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2025
  • #kikongwe #mistake #doko #clamvevo

Комментарии • 327

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 Год назад +26

    Nampendaga sana mfinanga anaigiza kama kweli ❤

  • @gatantz9761
    @gatantz9761 Год назад +2

    Ukwiluu nime isikia hiyooooo😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @SarahWanyonyi-dz6hq
    @SarahWanyonyi-dz6hq Год назад +10

    Kikongwe hizo macho weee kunoma sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥

  • @constancioantonioconstan-ok9ti
    @constancioantonioconstan-ok9ti Год назад +8

    Kazi mzuli Doko, following 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban Год назад +17

    mfinanga hauna baya unacheza vzr sana kwnye sehem yko maua yko

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 Год назад +13

    Oyaaaa weee Dokooo❤❤❤. Sema usicheleweshe kazi inavutia mwananguuuu dah!!!!!

  • @Loveness143y9
    @Loveness143y9 Год назад +20

    Nakubal doko hii kali from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz Год назад +7

    Kibonge mayere the best sana 🙏🙏🙏🙏🙏🖐️😀🖐️😀🖐️😀

  • @ZainabuorestiOresti
    @ZainabuorestiOresti Год назад +11

    Nakupenda bure bro doko movie zako mzur tu sana Masha Allah ❤

  • @sergesnshimirimana6049
    @sergesnshimirimana6049 Год назад +7

    Kali pokea🎉🎉🎉 nawakubali kinoma🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AUTRISFILMPRODUCTION
    @AUTRISFILMPRODUCTION Год назад +3

    DOKO umeweza sana,😂😂😂 I can't wait to see next episode

  • @MariamuYahya-qq3qy
    @MariamuYahya-qq3qy Год назад +6

    ❤❤❤ jamni kuna kadada apo nimekapendaaàaa buree jiraniiiiii

  • @josephsananga6573
    @josephsananga6573 Год назад +3

    Sonia mashaallah umzuri tunakutazama tukiwa Zanzibar michenzani doko mnyama kazi nzur tunasubiri part2❤❤

  • @MariamMariam-h8h
    @MariamMariam-h8h Год назад +10

    Nyie uyu doko unipuga naizi moves zake kweli😂😂😂

  • @azizaagustino875
    @azizaagustino875 Год назад +4

    Sonia upo vizuli sanaaàa unaweza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +6

    Sema mimi namkubali sana mfinanga yuwajua kucheza na scane yake❤❤❤❤❤ watching from Kenya 🇰🇪 mombasa

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Год назад +2

    Dunia imeisha chikongweee upwiruuuu hahahaha🎉🎉🎉❤❤😅😅😅

  • @chorobhai2796
    @chorobhai2796 10 месяцев назад

    Wow mashallah 😚😚😚😚 huyo Sonia yupo sawa 😊😊😊😊😊😊😊 tumempenda sanaaa salut% Sonia Allah akutangulie na akuzidishie ktk malengo yako UNAWEZA❤❤❤❤❤

  • @daudpius130
    @daudpius130 Год назад +2

    Doko doko doko wewe umeshindikana wakuache Wewe ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Dunia_Films
    @Dunia_Films Год назад +11

    Unajua sana

  • @AshaHamisi-tf3kk
    @AshaHamisi-tf3kk Год назад +11

    Tenaaa chezea kikongwe wewe big gap kipala ingwe

  • @GwamakaSamson-pg6bl
    @GwamakaSamson-pg6bl Год назад +11

    Big up mfinanga nakubali sana

  • @HakizimanaAisha-o5u
    @HakizimanaAisha-o5u Год назад +9

    Hongereni saaana mnawezaa

  • @barakajoackim-xu3hi
    @barakajoackim-xu3hi Год назад +11

    Mumetisha wazee nyie nona sana @Mr Doko

  • @WakusiziboyBarakaGodfrey
    @WakusiziboyBarakaGodfrey Год назад +8

    I like it doko

  • @latwibujuma
    @latwibujuma Год назад +11

    We upwiru ulimzidi bibi daah hatari na nusu😂😂😂

  • @johnosoro6033
    @johnosoro6033 Год назад +10

    Doko hiyo nayo Kali kweli

  • @medmaxmusictz
    @medmaxmusictz Год назад +9

    Bibi mwenyewe kavu uyoooo!!

  • @mugishagradis9569
    @mugishagradis9569 Год назад +11

    Kabeba mawe kawezaje jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linusp233
    @linusp233 Год назад +10

    Kabisa kaka 🇰🇪

  • @alfaxardnoelnoelnanda9020
    @alfaxardnoelnoelnanda9020 Год назад +4

    Doko nakukubar sana kaz zako Huwa hazifel

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah Год назад +1

    Jaman hii nyimbo kaimba nan nipen hata jina la mwimbo bas😂😂😂

  • @RahmaRajabu-sw7yr
    @RahmaRajabu-sw7yr Год назад +11

    Umeuwaaa mzeee

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 Год назад +3

    Oyyyy hii imeenda..........

  • @AminaMohamed-k2b
    @AminaMohamed-k2b Год назад +2

    Kikongwe 🎉🎉 huy bib so poa❤

  • @FatmaNoor-11
    @FatmaNoor-11 Год назад +2

    🎉Kazi nzur kk, Ila bibi kachangamka lkn mmeweza sna❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +2

    Alie mtoa ipwiru mamaenu sasa 😂😂😂😂😂😂😂aaaaaah mfinanga ndie babaenu

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 Год назад +6

    Kali sanaa...nampenda huyu Bibi jaman ❤❤

  • @chicmontana
    @chicmontana 5 месяцев назад

    Nilienda salon nikapatana na hii movie,weeee😮 ni kali imebidi niwatch from start❤

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 Год назад +25

    much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw Год назад +7

    😅😅😅😅😅Hi so move n komedy

  • @NajmaMohammedy-u4y
    @NajmaMohammedy-u4y Год назад +4

    Duh ule mkofi sonia ulompa mwnzio mbna wa kwel😂

  • @gabrielmnangala7822
    @gabrielmnangala7822 Год назад

    Doko sasa n next level

  • @AMBROZEY
    @AMBROZEY Год назад +10

    Wakwnza jamani😂😂😂😂😂

  • @jounioralex-ey9hp
    @jounioralex-ey9hp 10 месяцев назад

    nakubali sana kikongwe❤❤❤ 😮😍😋

  • @braytoncosmas-se4nd
    @braytoncosmas-se4nd Год назад +8

    Kipara Ingwe. Wenye Vipara ham chekeshi

  • @aminamjema-kf7qr
    @aminamjema-kf7qr Год назад +4

    Haya doko kujifanya chizi mam alidata kabla hajakuzaa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +1

    Doko nakubali sana huna kazi mbovu nimefurahi kumuona lupyana ripota wa mchongo😂😂😂😂

  • @lumumbajames2169
    @lumumbajames2169 Год назад +7

    Kipara ingwe😂😂😂😂

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban Год назад +13

    hii imeenda kbs

  • @hakizimanaeldendo
    @hakizimanaeldendo Год назад +7

    Jaman kikongwe anatafutanin kwakijawa wawatu😂😅

  • @kinyasigeneral7069
    @kinyasigeneral7069 Год назад

    Hongera SANA Sonia wewe ndio unayetufanya kununuwa bando kila siku😂 kwa ajili ya kukuangalia wewe

  • @JosselineKaya
    @JosselineKaya Год назад

    Kykykkykykyk bibi âme foling un love❤❤❤

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale Год назад

    Hahahahahaha huyu bibi noma haogopi hata kupelekewa moto 😂😂😂😂

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz Год назад +6

    Sonia the best ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @azizaagustino875
    @azizaagustino875 Год назад +2

    Sonia the besti🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wizzydomtz
    @wizzydomtz Год назад +6

    Uyoo ndo doko genius 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @bilkii342
      @bilkii342 Год назад +2

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Stopa45
      @Stopa45 3 месяца назад

      Sema hiii move wametishaaa Sana by Mr bange toka izimbiri 😂

  • @Marim-sj7oi
    @Marim-sj7oi Год назад +3

    Kikongwe 😂😂😂 balaa

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 Год назад +6

    Ila kikongwe😂😂😂

  • @johnhalinga4449
    @johnhalinga4449 Год назад +7

    Sawasawa doko

  • @Official-Bee
    @Official-Bee Год назад +6

    Mfinyanga mbona unaangaika Kikongwe akiwa😂😂😂😂Alafu Kikongwe wewe,huna baya😂😂😂😂😂🙌

  • @AliAbdullah-hg8pd
    @AliAbdullah-hg8pd Год назад +1

    Doko baba ase uko juu tu hogela sana

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 Год назад +1

    Mm ni mkeo mtarajiwa😂😂😂

  • @shabinirempirestudios
    @shabinirempirestudios Год назад +6

    Much more love from Kenya

  • @OrnellaNdabarushimana
    @OrnellaNdabarushimana Год назад +15

    Nzuri kisha munatia dakika ndogo dookooooo 🎉🎉🎉🎉nakukubari Ila fanya uongezeye dakika

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 Год назад

      Wee kweli mwehu dakika 17 kidogo post Yako basi kama waona ni rahisi

    • @SalimSalim-m9w4o
      @SalimSalim-m9w4o Год назад

      Doko mchele una tamu ila 😂 umeongeza subili namanisha uyu jamaa ripota 😂wa mchongo noma sana live bila chenga juzi alipigwa mpaka hawez kutembea kulalina zake

  • @danielsakisa9841
    @danielsakisa9841 Год назад

    Wasaniiii wakubwa kabisa ❤🎉❤🎉

  • @gflowsammy2304
    @gflowsammy2304 Год назад +10

    Umeweza this time doko...mama kaenda kutolewa upwiru😂

  • @MwajumaJuma-h4k
    @MwajumaJuma-h4k Год назад +12

    😂ukwiru

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 Год назад +10

    Dokooooo kiparaingwe

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 Год назад +7

    Much love from man from no where ❤❤

  • @abubacarassanetoziy4747
    @abubacarassanetoziy4747 Год назад +1

    Mfinanga unapenda sana kuri unaweza mfinanga

  • @maryaliera-sg5de
    @maryaliera-sg5de 10 месяцев назад

    Kikongwe😂😂......watching live from Kenya 😊

  • @SultaniDitopile
    @SultaniDitopile Год назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti upwilu

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 Год назад +2

    Kikongwe nae 😂😂😂anatisha sio kwa sura hiyo .. DOKO niache nicheke kwanza

  • @michaelmamillion111
    @michaelmamillion111 Год назад +10

    KAZI NZURI KAKA DOKO

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz Год назад +2

    Doko the best 🔥😀🖐️😀🖐️

  • @maleshmspecial02
    @maleshmspecial02 Год назад +6

    ❤❤Kali sna doko nimeipenda hii following ❤❤

  • @josephsananga6573
    @josephsananga6573 Год назад +2

    Sonia respect🎉🎉🎉

  • @jacklinejb
    @jacklinejb Год назад +10

    Ila nimecheka hyo kikongwe 😅😅

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 5 месяцев назад

    Kazi nzuri sana ila lugha mnazotumia daa nimejikuta nakimbiza watoto ndio niangalie

  • @mohammedhassan-o9s
    @mohammedhassan-o9s Год назад +1

    😂😂😂 doko unjuwa ,
    Kazi zako zinaeleweka big up sana bro

  • @StanleyaStella
    @StanleyaStella Год назад

    Kazi Nzuri Abadepa hongera

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah Год назад +1

    Mfinanga anakitu atafika mbali😂😂😂😂

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 Год назад +2

    Sonia ana macho mazuri balaa pia anaweusi ule wa kuteleza

  • @JonathanKanymbo
    @JonathanKanymbo 8 месяцев назад

    Kweli Doko hii movie nimkubli san good job ❤

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 Год назад +1

    Dokoooooo hii n noma🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂

  • @FatumaKipindura
    @FatumaKipindura 20 дней назад

    Kichwa mdudu anajifanya anajua kupigana😅😅🇭🇺🇭🇺kikongwee kapenda

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld Год назад +1

    Mfinanga Unajua❤

  • @Chiababy-p3i
    @Chiababy-p3i 9 месяцев назад

    BiKikongwe wafurahisha maneno yako 😂😂😂😂umenipunga kweli

  • @EvanceWinfred-e9b
    @EvanceWinfred-e9b Год назад +1

    Ukwiruuuuu😂😂😂😂😂😂

  • @SwediLyimo
    @SwediLyimo Год назад +1

    Sonia nakupenda

  • @MrsDariya-y1j
    @MrsDariya-y1j Год назад

    Doko mnafanya vzuri san jaman huyo bib nmemkunali.aisee

  • @KambangwaPaulo
    @KambangwaPaulo Год назад +7

    Wakwanza mm

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz Год назад

    Nakubali sana mfinanga & doko

  • @MarietaJohn
    @MarietaJohn Год назад

    Etc jamaan imeishia seem ya ngap🎉

  • @Officialangely
    @Officialangely Год назад +1

    Muchi love

  • @Josephatmussa
    @Josephatmussa Год назад

    kwahilo kama umegandwa pole Sana inategemea kikogwe mwenyewe yukoje

  • @namaduangaarmando2687
    @namaduangaarmando2687 Год назад

    Nice movie❤❤❤ Mozambique

  • @rashmiwazilfa7933
    @rashmiwazilfa7933 Год назад +7

    Wa5 😂

  • @Reyb-oi2hp2jq5u
    @Reyb-oi2hp2jq5u Год назад +1

    Nmecheka mnoooo 😂😂😂